Sakata la Msanii wa Bongo Flava Alikiba a.k.a King Kiba pamoja na Matangazaji wa Clouds Diva The Boss Bado Linaendelea Kupamba Moto katika mitandao ya kijamii.
Alikiba – Dodo | mp3 audio Download
Siku kadhaa zilizopita Diva the Boss alivujisha chats zake na Alikiba, zikionyesha jinsi Alikiba alivyokuwa akimwitaji sana kimapenzi, Huku akisindiza picha ya meseji hizo kwa caption ndefu sana.
Diva The Boss Avujisha za mahaba na Alikiba