TANZANIA BREAKING NEWS: Askofu Gertrude Rwakatare (Mama Rwakatare) wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) amefariki dunia Alfajiri ya leo.
Habari hii imeripotiwa na East Africa Tv moja kati ya vyomba vya habari vikubwa huko Tanzania.
Pumzika kwa Amani Askofu Gertrude Rwakatare hata sisi huku Kenya tutakumiss sana!