ENTERTAINMENT

Hunter Virus – Ugonjwa mpya waibuka tena huka China, mtu mmoja afariki

Wakati mataifa makubwa dunia yakipambana na ugonjwa wa Corona, umeibuka ugonjwa mwingine mpya ambao umeanzia tena huko China.

Imedhibitishwa kwamba mtu mmoja amefariki kwenye basi huku China na chanzo cha kifo hicho ikiwa ni ugonjwa huo mpya “Hanta Virus”, ambao unasambazwa na panya wenye virusi hivyo.

Kwa mujibu wa kituo cha kudhibiti na kuzuia maginjwa Marekani CDC imesema kwamba Ni vigumu kwa watu kuambukizana lakini mtu anaweza kupata ugonjwa huo kwa kushika macho, pua au mdomo wake baada ya kushika haja,mkojo au mate ya panya.

Leave a Comment