Kumekuwa na tetesi nyingi nyingi juu ya nyota huyu chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva Marioo a.k.a Toto Bad, ambaye kwa sasa anatamba na wake mpya kabisa Unanikosha.
Marioo – Unanikosha | mp3 Download
Kwanza baada ya picha zake kuvuja akiwa na Diamond Platnumz, kisha tetesi za yeye kutoka kimapenzi na na mwadada Mimi Mars.
Kuna hii skendo juu ya ngoma kati yake na Harmonize. Lakini hii inaweza isiwe ni skendo tuu maana hata Marioo mwenyewe katia neno juu ya hili.
Diamond Platnumz Ft Marioo – New song alert ama?
Hivi ndivyo Marioo alivyofunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram juu ya skendo hii “WE HISI TU ! GOMA LITAITWAJE ? ? ” = Aliandika Marioo.
Harmonize Ft Mario – We hisi tu