Bwana Yesu asifiwe na Heri ya Mwaka mpya mwana wa Mungu! Leo tuna Habari Njema ya kukuletea Top 20 ya nyimbo za dini zilizopendwa zaidi mwaka 2019 kutoka Afrika Mashariki.
- Rose Muhando X Ringtone – Walionicheka
- Yesu Karibu Kwangu – Rose Muhando
- Joel Lwaga – Mimi ni wa Juu
- Goodluck Gozbert – Nibadilishe
- Guardian Angel – Kuongozwa
- RINGTONE – Natafuta Bibi
- Masanja Mkandamizaji – Nii
- Christina Shusho Feat. Dreamers Singers – Teta Nao (Remix)
- Rose Muhando & Joyness Kileo – Agano
- Size 8 Reborn and Wahu – Power Power
- Kwaya ya Bikira Maria – Moyo Wangu
- Nadia Mukami – Maombi
- BAHATI – UNAVYONIPENDA
- Rose Muhando & Stephen Kasolo – Msitufatefate
- Christina Shusho – Nimehesabu
- Eddah Mwampagama – Viwango vya Juu
- Maggie Muliri ft. Bahati Bukuku – Nitafika Tu
- Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Na Wewe
- Masanja Mkandamizaji – Short & Clear
- Essence of Worship – Mimi Siwezi