Ebu ngoja kwanza, kama wewe ni mpenzi wa kuperezi mtandaoni basi lazima umekuta na picha mbalimbali ambazo zimezagaa kila pahali zikimwonyesha Diamond Platnumz akiwa na Marioo.
Diamond Platnumz Ft Lava Lava – One two | mp3 Download
Mengi yamezungumzwa na kuhusiana na hili swala, swali ni je tusubirie ngoma kutoka kwa wawili hao, maana wote ni wasanii pendwa sana katika muziki wa Bongo Flava.
New audio: Marioo – Aya | mp3 Download
Ama ni zaidi ya ngoma? Je WCB wanajipanga kumchukua na Marioo? Ebu toa maoni yako hapo chini….