Uncategorized

Pakua Kwa Kutumia Simu Yako Tu

Jinsi ya kupakua movies na series mpya kupitia simu yako

Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako.

Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!

Kwa kuanza Download App hii kisha install vizuri kwenye simu yako, ukimaliza Download Tena App hii kisha install kwenye simu yako ukimaliza yote hayo endelea kwa kuangalia video hii fupi hapo chini ambayo itakuelekeza zaidi, ukimaliza utakuwa umefanikisha yote kirahisi kabisa, Kumbuka kushare na kama umekwama mahali usisite kuuliza hapo chini kwenye maoni.

Kumbuka Pia MX Player ni Muhimu kama unataka kuangalia live kupitia App hiyo unaweza kudownload App hiyo hapo chini.!

Jinsi ya kudownload movies na series mpya kupitia simu yako

1 Comment

Leave a Comment