ENTERTAINMENT

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi

Baada ya tetesi kuwa msanii aliyesainishwa leo Februari 2, 2023 na lebo ya WCB ni mwimbaji nyota wa kizazi kipya @mavokali_ kuna hili la kufahamu.

RELATED: Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 – NECTA form Four results

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi
Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi

Mavokali muda mfupi uliopita kupitia insta story yake ameandika “02/02/2023 Deal Done” akiwa na maana leo tarehe 2 mwezi wa pili kuna dili amelikamilisha.

Kufuatia caption hiyo anazidi kuhusishwa kuwa ndiye msanii mpya wa lebo ya WCB anayesubiri kutambulishwa rasmi. Pia kwenye ukurasa wake wa Instagram ameondoa picha zote sehemu ya feed.

Hata hivyo, sio Diamond wala uongozi wa lebo ya WCB uliothibitisha hili. Tuendelee kusubiri taarifa rasmi itakayotolewa na uongozi wa lebo.

Leave a Comment