ENTERTAINMENT

MAPENZI YA DIAMOND NA ZUCHU – Sababu 4 Zilizomfanya Diamond Kumtongoza Zuchu (VIDEO)

Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo Flava recording artist, dancer, philanthropist, and businessman of Ha heritage. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Wasafi Bet, and Wasafi Media.

RELATED: Rayvanny – Nitongoze Ft Diamond Platnumz (Prod. S2kizzy)

MAPENZI YA DIAMOND NA ZUCHU – Sababu 4 Zilizomfanya Diamond Kumtongoza Zuchu

Baada ya kutuficha sana, hatimaye Diamond ameamua kutuweka wazi kuwa yeye na msanii wake Zuhura Othman a.k.a Zuchu ni wapenzi. Licha ya kuwepo kwa ushahidi kuwa wawili hao walikuwa ni wapenzi kwa muda sasa, hakuna hata mmoja ambaye aliwahi kukubali kuwa wao ni wapenzi zaidi ya kutuchanganya na drama za hapa na pale za kutuambia kwamba kusoma hatujui hata picha hatuoni.

Baada ya series ndefu ambayo tulikuwa hatujui ingeendelea mpaka lini ,Bwana diamond ameamua kumwaga mchele kuwa bi zuhura ni mkewe. Ukiri huo ulianzia siku ya birthday ya Zuchu, ambapo msanii huyo nguli wa Afrika aliwaacha watu midomo wazi baada ya kuandika maneno yaliyojawa na mahaba na kusindikizwa na picha kadhaa na video exclusive iliyowaonyesha wawili hao wakiwa katika mahaba mazito.

RELATED: The Ben – Why Ft Diamond Platnumz

Hiyo haikutohsa, hivi karibuni Mond alialikwa kwenye listerning party ya Jux ambapo alipewa nafasi ya kutambulisha wimbo ambao jux ameufanya na Zuchu, Diamond akaamua kwenda extra mile na kudai kuwa huo ndio wimbo wake pendwa kwenye project hiyo ya Jux kwa sababu amefanya na mke wake akiaamanisha Zuchu, bhasi watu wote wakapigia mstari kwamba sasa wawili hao wako tyari kuyaweka mapenzi yao hadharani kwa hyo tutegeemee Drama zaidi.

MAPENZI YA DIAMOND NA ZUCHU – Sababu 4 Zilizomfanya Diamond Kumtongoza Zuchu
Diamond Platnumz Biograph

Nasibu Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo Flava recording artist, dancer, philanthropist, and businessman of Ha heritage. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Wasafi Bet, and Wasafi Media.

Diamond has gained a massive following in East and Central Africa. He became the first Africa-based artist to reach a combined total of one billion views on YouTube.

After signing a record deal with Universal Music in 2017, Platnumz released his third studio album, A Boy from Tandale (2018). In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment