About Wema Sepetu
Wema Sepetu is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress in Tanzania.
WEMA SEPETU – Hizi ndo Skendo 8 Chafu Zinazomuandama (Video)
Wemu sepetu pengine ndiye msanii wa kike ambaye amewahi kujipatia umaarufu zaiddi ya msanii yeyote yule wa filamu na muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
RELATED: Jux โ Nidhibithi Ft Zuchu (Prod. Mocco)
Mrembo huyo ambaye alianza kupata umaarufu mwaka 2006 baada ya kutwaa taji la miss Tanzania na baadaye kuingia kwenye filamu baada ya kushawishiwa na aliyekuwa gwiji wa filamu hapa nchini, marehem Steven Kanumba,, Wema ameweza kufungua njia kwa warembo wengine ambao walitokea kwenye u miss na baadaye kuja kuwa waigizaji kama vile Aunt Ezekiel, Irene Uwoya ,Chuchu Hans, Lulu Diva na wengine wengi .
Licha ya mambo mengi aliyopitia ,hakuna msanii ambaye amewahi kuvunja rekodi ya Wema kwa kupendwa zaidi na mashabiki na hapo ndipo likaibuka lile jina la Tanzania Sweetheart.
Wema Anashikilia rekodi ya pekeee yake ya umaarufu ambapo watu wameweza kushuhudia kila hatua ya maisha yake toka akiwa binti mdogo akiwa anatafuta ustaa ,watanzania wameshuhudia milima na mabonde yote ya mrembo huyo mwenye nyota ya kipekee.
Kama Ilivyo kwa mastaa wengine Wema sepetu amewahi kukmbwa na skendo nyingi ambazo mpaka leo zinamwinda mrebo huyo anayetamba sasa na kipindi chake cha cook with Wema Sepetu.
RELATED: Jux โ Kitanda Ft Marioo (Prod. Bob Manecky)
zifuatazo ni baadhi ya skendo ambazo zimewahi kumkumba staa huyo.. (Bonyeza Link Hapo chini)
WEMA SEPETU – Hizi ndo Skendo 8 Chafu Zinazomuandama (Video)
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny โ Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz โ Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz โ Shusha
- Diamond Platnumz โ Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa โ Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz โ Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz โ Jeje (Prod. Kel P)