Kenyan afro-fusion artist who strives for his compositions to have memorable melodies that stand on their own, Ethan Muziki drops a new song titled, Sema.
RELATED: Ethan Muziki – Sweet Matunda Ft Watendawili (Prod. Ethan Muziki)
QUOTABLE LYRICS
Ni ni lini tukaogopa kunyeshewa
Tumekazana kufika hapa hatujapewa bure
Na hata zile siku nimelemewa
Unanipenda mamie
Unaweza lala kwa kitanda ntalala chini
Juu wewe raha ukipata napata Mimi
I will love you in the dark and in the florescent light
Na Ntafanya ninachoweza darling
Ikisema, roho imesema
(Imesema, imesema mamama)
Tutaenda l hadi siku itasimama
(Itasimama, itasimama mamama)
Listen to, “Ethan Muziki – Sema” below;
AUDIO Ethan Muziki – Sema MP3 DOWNLOAD
Also, check more tracks from Otile Brown;