ENTERTAINMENT

Mzungu amevunja Mkataba bila kufuata Utaratibu – Simba SC

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa ya mchezaji Dejan Georgijevic ya kuvunja mkataba na klabu hiyo.

Hata hivyo Simba wameeleza kuwa tumesikitishwa na kitendo cha Dejan kuandika taarifa ya kuvunja mkataba kupitia mitandao ya kijamii bila ya kufanya mazungumzo.

Taarifa ya Simba imeongeza kuwa Uongozi utachukua hatua stahiki juu ya mchezaji huyo kufuatia kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu maalumu.

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Leave a Comment