Barnaba Ft Nandy – Tamu Lyrics
VERSE 1
Penzi langu walihudi halihudi lanukia kumpenda sina budi,
Nitangaze hadharani ikibidi tufanye makusudi
Hatuogopi tantalila zao maneno nchajao
wanafanya maneno baby si tufanye matendo
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe huko nyuma
nilianguka ukaniokota ukanipangusa,
upendo tulonao umetengenezwa na mimi na wewe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyanyuka
CHORUS
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu, neno penzi kwangu tamu Jama mapenzi matamu

VERSE 2
Oooh papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata, kukupenda wewe sina shaka aaah aaah mmmh
Kwenye akili yangu ni wewe peke yako umenikaa kwingine roho inakataa,
Moyo umekuamini maana huniishi akilini sijui umenipa nini
Au umentupia ka jini ndo maana umeniwin maana huniishi akilini
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe huko nyuma nilianguka ukaniokota ukanipangusa,