SPORTS

Picha 19: Uzinduzi Wa Jezi Mpya Za Simba SC, Mashabiki Wafurika Dukani DSM

Picha 19: Uzinduzi Wa Jezi Mpya Za Simba SC, Mashabiki Wafurika Dukani DSM

Klabu ya Simba SC imezindua Jezi mpya zitakazotumika katika msimu mpya wa ligi, Agosti 7, 2022.

RELATED: Simba Sports club closes the registration with a clash, they bring a striker from Europe

Hapa nimekusogezea picha ushuhudie hali ilivyokuwa Dar es Salaam ambapo Mashabiki walifurika nje ya Duka la Vunjabei kwaajili ya kununua jezi hizo mara baada ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2022/2023 Simba wanasema jezi za safari hii ni nzuri na wametengenezea Ulaya

Leave a Comment