Sakata zima la kuvujisha video za Ngono Tanzania naona linazidi kupamba na sasa nadhani ni wakati wa Serikali kuingilia jambo hili. Kumekuwa na mfululizo wa uvujishaji wa video za Ngono nchini kwanzia kwa wasanii mpaka wanachuo.
RELATED: Lulu Diva Ft Dulla Makabila – Jini Gani
Nadhani hili limeendelea kwa sababu pengine wahusika hawachukulia hatua za kisheria. Ni vema kabisa wala haipendezi na hii inachafua na kushusha heshima ya watu ambao video zao zinavujishwa.
Hii yote imekuja baada ya Mange Kimambi kupost katika Instagram yake na kuvujisha video ya Msanii Lulu Diva.
“Connection ya Lulu Diva iko kwenye @mangekimambi___app . Njoo fastaaaa….Natetemekaaaa”
Katika mitandao ya kijamii wadau mbalimbali wametoa maoni.
Also check more tracks from Zuchu;
- Zuchu – Tanzania Ya Sasa (Prod. Lizer)
- Zuchu – Raha (Prod. Lizer)
- Zuchu – Kwaru
- Zuchu Ft Khadija Kopa – MAUZAUZA
- WCB Wasafi – Jibebe Ft Diamond Platnumz, Lava Lava & Mbosso
- Krizbeatz – Proper Ft. Diamond Platnumz & Tekno
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe