Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.
RELATED: Matokeo kidato cha sita 2022/2023 – NECTA ACSEE Tazama hapa
Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana
Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022
- Kemebos Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi.
- Kisimiri Sekondari Arusha – Shule ya Serikali.
- Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
- Tabora Girls Tabora – Shule ya Serikali
- Ahmes Sekondari Pwani – Shule ya Binafsi
- Dareda Sekondari Manyara – Shule ya Serikali
- Nyaishozi Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi
- Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
- Mkindi, Tanga – Shule ya Serikali
- Ziba, Tabora – Shule ya Serikali
Also check more tracks from Zuchu;
- Zuchu – Tanzania Ya Sasa (Prod. Lizer)
- Zuchu – Raha (Prod. Lizer)
- Zuchu – Kwaru
- Zuchu Ft Khadija Kopa – MAUZAUZA
- WCB Wasafi – Jibebe Ft Diamond Platnumz, Lava Lava & Mbosso
- Krizbeatz – Proper Ft. Diamond Platnumz & Tekno
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)
- Zuchu Ft Mbosso – Ashua