CITIMUZIK TV

Jux Amkana Vanessa Mdee Adai Wolper Ndiye Ex Wake Bora (+VIDEO)

Jux Amkana Vanessa Mdee Adai Wolper Ndiye Ex Wake Bora (+VIDEO)

Msanii wa maarufu wa bongo fleva na mkali wa RNB nchini ,Juma Jux amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuulizwa kuhusu ex wake bora na anayemkumbuka.

RELATED: Jux – Simuachi (Prod. Foxx)

Jux alibabanishwa na watangazaji wa kipindi cha the big sunday live kinachoruka Wasfi TV kila siku ya jumapili ambapo kipindi hicho kina segment inayokwenda kwa jina la #Picture Challenge ambapo JUx aliwekewa picture mbili moja ya Jackline Wolper na nyingine ya Jack Cliff.

Jux Amkana Vanessa Mdee Adai Wolper Ndiye Ex Wake Bora (+VIDEO)

Also, check more tracks from Jux;

Leave a Comment