Harmonize – Omoyo Remix LYRICS Ft Jane Misso
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Wendo ulishawishi ninywe nikalewa nikazima
Sasa ona adi watoto wananikosea heshimaa
Kwanini usiseme ile pesa nikatone kwa yatima eeeh
Moyo konde enena seba
Na walipo sema mke wa mtu sumo
Moyo ukasema ninunue maziwa
Na ukanishawishi eti japo ni mchungu
Mwisho wake nikafumaniwaa
We moyo uambiliki, utabiriki
Omoyo muoga wa dhiki nan do maana una rafiki
Naukisha niweka matatani auonekani unamsingizia shetani
Sasa ukinigombanisha na ndugu jirani
Atanizika nani moyo nione imani
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo wee mpenda vizuri vizuri
We ndo unanifanya nionekane kiburi, kiburi
Na ukitaka lako utavunja ata kufuli
Na kisema mia uitaki sifuri sifuri
Aaha ivi kwanini upendeki moyo
Auzeeki moyo
Au seomeki moyo
Ata umpe dunia au tosheki moyo
Unacho taka nanunua naukipata unataka tofauti
Tena mbovu wa kuchagua una viatu unatamani suti
Omoyo kuonge unajua kuongea cha ajabu autoi sauti
Ivi uko kwa kichwa ama kwa kifua sema moyo nikutoe baruti
Naukisha niweka matatani auonekani unamsingizia shetani
Sasa ukinigombanisha na ndugu jirani
Atanizika nani moyo nione imani
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Omoyo
Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba
Also, check more tracks from Harmonize;