Nadia Mukami Ft Latinoh – Siwezi LYRICS
Latinoooh
Nadia!
Hali mbaya, nyumbani mwenzenu chakula hakuna
Na si hekaya kuna muda natamani kurudi kwetu
Umenioa unitese, eti kisa kupendwa sana
Imenizidi mipaka, marafiki wananicheka sana
Nimevumilia sana, kama maji mwenzako yamenizidi kina
Mapenzi bila pesa hapana nimechoka naenda….
CHORUS:
We vumilia tu(siwez)
Eeh eeh(siwez)
We vumilia tu(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez)
Eeh eeeh eeeiyee(siwez)
We vumilia tuh(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
Usijali riziki mafungu kila mtu ana lake,
Tumetoka mbali safari bado kidogo baby tufike,
Siri zetu zibakie ndani,
Usiwape faida majirani,
Hata mimi natamani,
Upendeze uvimbe mitaani,
Usinikimbie eeh eeh ,
Ukiondoka mwenzako nitabaki na nani,
Nihurumie eeh eeh,
Baada ya dhiki faraja yetu ipo njiani,
We vumilia tu(siwez)
Eeh eeh(siwez)
We vumilia tu(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez)
Eeh eeeh eeeiyee(siwez)
We vumilia tuh(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
Nikipata nita kubuyia ndai,
Vaccation dubai,
Nguo kila design,(hee uko sure)
Zara gucci na shanel,
Photoshoot mumbai,(acha chocha)
Nitaku treat ufurai,
Nguo kila design,(eeeeh uko sure)
Baby baby eeeeh
We vumilia tu(siwez)
Eeh eeh(siwez)
We vumilia tu(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe(siwez)
Eeh eeeh eeeiyee(siwez)
We vumilia tuh(siwez)
Nitembee vipi na magongo yangu ni wewe
Siwez,siwezi,siwezi
Siwezi,siwezi
Also, check more tracks from Nadia Mukami ;