ENTERTAINMENT

Marafiki zangu ni Wanaume, Wanawake ni wanafiki – Irene Uwoya

Marafiki zangu ni Wanume, Wanawake ni wanafiki - Irene Uwoya

Star wa Bongo Movie nchini Tanzania, Irene Uwoya awajibu walimwengu wanaomuliza kuwa ni kwanini hana marafiki wakike?

RELATED: Diamond na Zuchu ni wapenzi – Juma Lokole atoboa siri (+Video)

Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram amejibu kwamba marafiki zake asilimia 90 ni wanaume kwasababu aliyoitaja kuwa ukifanya vizuri wanakupongeza na ukifanya vibaya wanakuchana ila kwaupande wa wanawake amedai kuwa wanakuchekea machoni ila moyo hawapendi ufanikiwe yani ujumbe uliotafsiriwa kuwa ni “Unafki” mwingi

“Watu wanauliza sina marafiki wa kike? kiukweli asilimia 90 ya marafiki zangu ni wanaume sababu wamenyooka sanaaa ukikosea wanakuchana ukifanya powa wanakupongeza na ukifanikiwa wanakunjua na kufurahia mafanikio yako kama Yao,ila wakike anakuchekea machoni moyoni anatamani ufe…simanishi siwapendi ila napenda tuonane kwa mbali ?” – Uwoya

RELATED: Aunty Ezekiel mtu mzima ila hajielewi – Ruby

Je, Unakubaliana Nae Katika Hilo ? ? Weka comment yako hapo chini!!

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment