Baada ya tetesi kuibuka kwamba mwanamuziki nguli Diamond Platnumz anacheza unyumba na Moja wa wasanii wake, Zuchu.
RELATED: Zuchu – Mwambieni (Prod. Mr LG)
Ni bayana kuwa wanamuziki hao wako katika mahusiano, kupitia taarifa ya mtangazaji wa Wasafi Fm na mwandani wa Diamond,Juma Lokole.
Juma, amebaini kuwa Diamond na Zuchu wamekuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwezi mmoja.
“unajua ukweli mapenzi hayafichiki na ni vizuri tuweke mambo wazi…Zuchu na Diamond wana mahusiano…Hivi sasa ni mwezi mmoja ”.. alisema Juma lokole.
Vile vile walijaribu kumpigia simu Diamond ilikuthibitisha habari hizo ambapo alikataa kuchukua simu yake huku akiwandikia arafa kwamba amesikia wanachotaka kumuliza.
Hivi majuzi Zuchu alijitokeza hadharani na kushukuru mpenzi wake ambaye jina lake alilibana kwa kumnunulia mdoli mkubwa Ikumbukwe Mwezi uliopita, Diamond na Zuchu walionekana pamoja.
RELATED: The Ben – Why Ft Diamond Platnumz
Tangu hapo mashabiki walianza madai wanalegezana nyoyo.
Diamond na Zuchu ni wapenzi – Juma Lokole atoboa siri (+Video)
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)