ENTERTAINMENT

Aunty Ezekiel mtu mzima ila hajielewi – Ruby

Aunty Ezekiel mtu mzima ila hajielewi - Ruby

Star wa muziki wa Bongo Fleva na malkia kutoka THT, Ruby amefunguka na kudai kwamba anampenda sana Aunty Ezekiel ila ratio ni kwamba Aunty hajielewi.

RELATED: Ruby – Dakika Moja (Prod. Yogo Beats)

Aunty Ezikiel ambaye ni star wa Bongo Movie pamoja na Ruby wamekuwa katika mvutano sana huku chanzo kikubwa kikiwa ni mahusiano yao ya kimapenzi.

Ruby aliyasema hayo baada ya kujibu swali la shabiki yake huko Instagram katika (Insta-Story) “Kama Anampenda Aunty Ezekiel”.

“Sanaaa Tena Sanaaa Sema Tu Mzima Hajielewi” – Ruby Akijibu Swali La Shabiki Yake

Aunty Ezekiel mtu mzima ila hajielewi – Ruby

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment