Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihaani wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021.
RELATED: Wanafunzi 10 bora kidato cha nne 2021/2022
Wanafunzi 10 bora kidato cha Pili 2021/2022
Watahiniwa 10 bora kwenye upimaji wa Wanafunzi wa kidato cha pili.
1. Geovin Macha – Shule ya Jude Arusha
2. Moses Masome – Heritage Pwani
3. Pius Tairo – Tengeru Arusha
4. Henry Shelembi -Jude Arusha
5. Shilanga Malegi – Heritage Pwani
6. Loi Kitundu – Feza Girls – DSM
7. Joshua Leo – Tengeru Boys Arusha
8. Brian Chille – Marian Mkoa wa Pwani
9. Cornel Karoli – Jude Arusha
10. Elizabeth Msengi – St. Monica Arusha.
Also, check more tracks from Zuchu;