Nadia Mukami Ft Masauti – Lola LYRICS
Aaah aah aah aha aha
Baby
Lola
Aaah aah
(Motif di Don)
Nashangaa na hizi pesa, nilijikuta tu kivyangu
Eti mwanzoni ulinipenda, akabisha Shetani huku kwetu
Lakini mbona hukuniambia, ya siri nijulie mitandaoni
Ukweli ukaukimbia, eti mhusika ndo Shetani
Ama ni kiki unatafutia, ndo maombi yangu moyoni
Au ni showbiz na hujaniambia, nisijitese akilini
Ona tulianza bila mapeni, na leo tuna magari
Nimekosa nini jameni,si ulitaka aliye maarufu
Uwape story magazeti,matusi pande mbili
Kipenzi cha watu jameni, walitupenda sote wawili ila….
Loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
Loolaaa.. looola
Loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
Yamemwagika baabaaa
Loolaaa… sasa umeniacha na naniii
Loolaaa… sudi kwangu mimiii
Loolaaa… sasa umeniacha na nani mama yoooh
Loolaaa… rudi kwangu mimiii
Kweli nimeumbukaaa… sina hata hadhi yakukutazama kwenye sura
Nilioyafichaa… mwangu moyoni yote umeyajuwa
Naona aibu mpaka kwa marafiki zangu
Imekuwa chungu, kwa tamaa zangu
Nadia ulinipendagaa, na mapenzi yalinoga
Mi ndo nilikumwaga, nakuomba msamaha wangu mama
Basi usiniadhibu, kwa kosa tayari nimekubali
Acha kunihusudu, kila mahali ni mimi mitandaoni
Kugombana sio suluhuhisho mama aaah ahaa
Tusizidi kuuvunja mwiko mama wa mapenzi yetu mi na wee
Loolaaa… sasa umeniacha na naniii
Loolaaa… sudi kwangu mimiii
Loolaaa… sasa umeniacha na nani mama yoooh
Loolaaa… rudi kwangu mimiii
Loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
Loolaaa.. looola
Loolaaa… yamemwagika hayazolekiii
Yamemwagika baabaaa
Umefanya pombe kuwa pacha wangu
Kichwa ni mawazo kichwani mwangu oooh
Na si unajua, nakupenda wewe iyee
Hayazoleki hayazoleki wowooo…
Nadia, Nadia wewe nakupenda oooh…
Also, check more tracks from Nadia Mukami ;