Naseeb Junior alizaliwa tarehe 2/10/2019, akiwa ni mtoto wa nne Diamond Platnumz ambaye mmoja katika wa wasanii bora kabisa Africa, huku akiwa mtoto wa kwanza wa mwanadada Tanasha Donna (Mkenya).
Diamond Platnumz (Baba yake Naseeb Junior) ametajwa mara mbili na mashirika tofauti tofauti, huku mashirika yote mawili yakimuweka namba 3 katika Top 10 list ya wasanii bora Africa.
Naseeb Junior anazaidi ya followers laki moja kwenye account yake ya Instagram.