Chege Ft Diamond Platnumz – Waache Waoane LYRICS
Maji ya moto yamekua baridi,
Hakim nimekua shahida,
Nikijishusha mateso yanazidi,
Aloniliza ndo akunifariji,
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Yamesibitisha macho,
Lakini moyo unakataa,
Nimeamini kikulacho,
Ni yule unaona anaekufaa,
Nilifumba mboni zangu,
Kwa wengine nimuone yeye tu,
Nikamwaga jasho langu,
Japo kidogo nile nae yeye tu,
Mwambie awe huru wala sito lalamaa(aaaaaaa, aaaaaaa)
Sitaki kukufuru wafunge ndoa salama (aaaaaa, aaaaaa)
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Anaepanga kugawanya uaga ni mungu baba,
Katu siwezi kulalama ridhiki mafungo saba,
Najitaidi sana wenda sikumridhisha labda,
Ila kinacho nchanganya akunambia kabla,
Tena nakupa mauwa mpelekee,
Wasije yatupa naomba wayapokeee,
Na sunna ntafunga usiku niwaombee,
Awape baraka muumba watoto awaletee, eeeaaaa.
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Waache waowane
Maji ya moto yamekua baridi,
Hakim nimekua shahida,
Nikijishusha mateso yanazidi,
Aloniliza ndo akunifariji,
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)