C - NEWS

Alooh! Album Mpya ya Marioo ‘The God Son’ Inashenyeta

Album Mpya ya Marioo 'The God Son'

Chedaa nimerudi tena, na safari hii nimekumbana na Album mpya kabisa ‘The God Son’ na hii ni kutoka Alooh, Marioo, msanii mahiri wa Bongo Fleva, songwriter, na music producer anayekuja juu kwa kasi. Album hii imejaa moto wa aina yake, ikiwa na jumla ya nyimbo 17 zinazotikisa, huku akiwashirikisha wasanii wakubwa kama Alikiba, Harmonize, Aslay, Bien, Patoranking, na wengineo.

RELATED: Marioo – The Kid You Know ALBUM

Kwa sasa, hii inaonekana kuwa Album bora ya mwaka, na kijana wetu Marioo ameweka viwango vya juu sana. Hata hivyo, tunasubiri kwa hamu binti yetu Zuchu naye aachie Album yake ya kwanza, ambayo amesema iko mbioni.

Hakika, ‘The God Son’ ni kazi ya kiwango cha juu—Marioo ameshenyeta vibaya, na Album hii ni lazima isikilizwe na kila mpenzi wa muziki mzuri! Usisahau kudondosha comments hapo chini!

Sikilizi midundo hapo chini kutoka Aloooh!

  1. Marioo – Alhamdulillah
  2. Marioo – My Daughter
  3. Marioo – Sober Ft. Alikiba
  4. Marioo – Nairobi Ft. Bien
  5. Marioo – Dar Es Salaam
  6. Marioo – Happiness Ft. Kenny Sol
  7. Marioo – Salio
  8. Marioo – Wangu Ft Harmonize
  9. Marioo – My Eyes Ft Patoranking
  10. Marioo – Pini Ft Aslay
  11. Marioo – Njozi Ft Eleeeh
  12. Marioo – No One Ft King Promise
  13. Marioo – High Ft Joshua Baraka
  14. Marioo – Why
  15. Marioo Ft Stan – 2025
  16. Marioo – Hakuna Matata (Prod. S2kizzy)
  17. Marioo – Unanichekesha (Prod. S2kizzy)

Also, check more tracks from Marioo;

Leave a Comment