In his latest release, “Ova,” Mbosso bares his soul, pouring out raw emotions and expressing the deep pain of a broken heart. With vulnerability, he tells his lover that their relationship has come to an end, drawing a line under the love they once shared. The song beautifully captures the anguish of love lost, with Mbosso’s emotive vocals painting a vivid picture of sorrow and the finality of moving on.
RELATED: Yammi Ft. Mbosso – Nitadumu Nae
Mbosso – Ova LYRICS
Vishavu vimeanza kunona
Kitambi ndo hichi sasa ona
Nitazame, nanenepa nanenepa
Nami nimempata chioma
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kunitukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova
Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Shilingi shilingi shilingi
Shilingi yatutoa roho shilingi
Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
Shilingi ya ua mapenzi
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova
Also, check more tracks from Mbosso;