Vita kati ya Rapa Tekashi 6ix9ine na mkongwe Snoop Dogg imefikia katika hatua mbaya, baada ya Tekashi kushare video ya snoop akiwa na mchepuko
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tekashi alishare video hiyo aliyoambatanisha na maneno:-
” Kipindi nipo jela watu walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha sitoki na hata nikitoka basi nisisikike tena.
RELATED: Tekashi afikisha views Mil.100+ avunja record
Leo nimetoka wananichokonoa na baada ya kurudisha majibu wanaomba yaishe, haya sasa snoop nenda kaombe radhi kwa mkeo ” – Tekashi
Video hiyo ambayo hata ivyo baadae aliifuta, anaonekana Snoop akiwa katika chumba na msichana, na video nyingine anaonekana akiwa anaongea nae kwenye simu.