ENTERTAINMENT

Tekashi afikisha views Mil.100+ avunja record

Tekashi afikisha views Mil.100+ avunja record

Rapa Tekashi 6ix9ine ameendelea kuvunja rekodi mbalimbali kupitia Ngoma yake ya ‘GOOBA’, na hivi Sasa ameweza kuingia kwenye vitabu vya historia ya Muziki wa nchini Marekani, baada ya kuweza kufikisha YouTube views Million 100 ndani ya muda mfupi zaidi (MASAA 71)

Tekashi ameweza kuvunja rekodi za Ariana Grande, Taylor Swift na Champagnepapi ambao ndio walikua wanashikiria rekodi hiyo kwa nyakati tofauti, kabla ya Tekashi kufikisha views Million 100 ndani ya masaa 71 tu.

Vilevile Tekashi alivunja rekodi ya Eminem, na Kuwa Msanii wa HipHop aliyefikisha views nyingi zaidi ndani ya masaa 24 kupitia Ngoma hiyo hiyo ya GOOBA, ambapo aliweza kujizolea zaidi ya Views Milion 41.

Tekashi afikisha views Mil.100+ avunja record

Leave a Comment