LYRICS

Alice Kimanzi – Waambie LYRICS

Alice Kimanzi – Waambie LYRICS

Alice Kimanzi shares, “This song was penned for a friend’s wedding, and it’s my hope that it becomes a cherished part of many more weddings to come. Let this song be a blessing and a prayer for those waiting for their life partners.”

RELATED: Joel Lwaga – Usipigane (Prod. HARRY Gb)

We’re thrilled to present the latest gospel melody “Waambie” in mp3 format, a soulful creation by Alice Kimanzi. Dive into this uplifting musical experience!

Alice Kimanzi – Waambie LYRICS

VERSE 1:
Usingizi kanitoroka
Moyoni nakesha ngoma
Kwa subira nimengoja
Penzi hili la thamana
Tangu tulipokutana nafsi zetu kapatana
Na ni mbali tumetoka tangu kuchumbiana
Siku yetu imefika hakuna ataye zuia
Ajalie Maulana pete tutavishana

CHORUS:
Waambie mie…nimeshapatikana
Na yule mume…wamapenzi ‘shanienzi
Waambie mie…milele nishazama
Sinitafute kule…kwa mabinti nishahama
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishazama
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishahama

VERSE 2:
Kuna wale wanasema ndoa haidumu tena
Yaje maji na mafuriko
Tayari tusha tia nanga
Nimempata yule wangu
Kampenda na vyote vyangu
Sitaja sahau amenivisha dhahabu
Nimempata yule wangu
Kampenda na vyote vyangu
Simulia walimwengu nishampa moyo wangu

BRIDGE:
Eh Mola tusaidie kwa wema wako
Tuwe na ndoa yenye furaha
Milele hadi milele

Also, check more tracks from Paul Clement;

Leave a Comment