Huku tukikutakia heri ya mwaka mpya 2024 kwa mpigo tu lengo letu kubwa ni kuhakikisha unapata burudani nzuri.
RELATED: Sambaza Shangwe Kwa Kupakua Bongo Hip Hop Mix ya Rj The Dj Ndani Ya Mdundo.com
Kuanzia asubuhi hadi jioni, mix hii ya leo ya Amapiano inayomshirikisha Whozu inaleta shangwe kwenye masikio yako.
Isikilize na upate furaha: https://mdundo.com/song/2736067
Subscribe ili kupata DJ mixes mpya Kila siku:https://mdundo.ws/CMBlog