ENTERTAINMENT

Diamond Platnumz anunua gari jipya “Rolls Royce Dawn” million 899

Taarifa mbalimbali pamoja video zinazosambaa mtandaoni ni kwamba msanii wa muziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, amefanikiwa kununua gari ya ndoto yake aina ya Rolls Royce Dawn.

Diamond Platnumz – Jeje | mp3 audio Download

Kwa mujibu wa mtandao wa rollsroycelongisland.com gari hiyo inadahmaini ya Dola za Kimarekani $388,750 sawa na 899,373,125/= TSZ, ukiachana na pesa za usafirishaji na mapato ya TRA

Katika interview na kwenye matasha ya Wasafi Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz amekuwa akizungumzia swala la kuvuta Dingi hiyo ya dhamani mwaka huu pamoja na private Jet.

Diamond Platnumz anunua gari jipya “Rolls Royce Dawn” million 839

Leave a Comment