ENTERTAINMENT

Kings Music kumtambulisha rasmi Tommy Flavour kundini, Ijumaa

Baada ya WCB kumtambulisha Zuchu, Konde Gang pia walinuka na kumtambulisha msanii wao mpya Ibraah ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya Nimekubali.

Alikiba – Dodo | mp3 audio Download

King’s Music nao wamesimama na kutangaza rasmi kwamba ijumaa hii watamtambulisha Tommy Flavour kama msanii mpya katika kundi hilo.

Hii imekuja baada ya wasanii wawili Killy na Cheed kujiondoka katika lebo hiyo ya muziki siku chache tu zilizopita.

Leave a Comment