ENTERTAINMENT

Diamond Platnumz kumtambulisha msanii mpya WCB (Wasafi)

Diamond Platnumz kumtambulisha msanii mpya WCB (Wasafi)

Kupitia account yake ya Twitter Diamond Platnumz aliandikwa kwamba.

Nitamtambulisha mwanakikundi mpya wa WCB wasifa. Nina furaha kupita kiasi” – alisema Diamond Platnumz.

Kupitia Instagram aliongeza na kusema “Nangojea kwa hamu sana, ulimwengu upate kusikia kipaji na wimbo mpya kutoka mtaani”

Kwa sasa wote hatujajua ni nani lakini miezi kadhaa iliyopita tulimwona Diamond Platnumz akiwa na Marioo na tetesi nyingi zikaibuka.

Wewe unadhani labda ni nani atakaye tambulishwa kesho?

Leave a Comment