ENTERTAINMENT

Duka la Nai lanusurika kuungua baada simu yake kulipuka (+Video)

Duka la Nai lanusurika kuungua baada simu yake kulipuka (+Video)

Duka la Video Vixen la Nai limepata pigo kubwa baada ya kukumbwa na janga la moto, chanzo kikielezwa kuwa ni Simu iliyokuwa ikichajiwa juu ya kochi ndani ya duka hilo.

RELATED: Diamond Platnumz – Achii Ft Koffi Olomide

Baada ya tukio hili la kutisha, Nai Huddah ametoa onyo kali kwa watumiaji wa Simu kuhusu umuhimu wa kuwa makini wakati wa kuchaji vifaa vyao vya elektroniki ili kuepuka hatari zisizotarajiwa.

“Nawasihi sana, wakati mnapoweka simu zenu kwenye chaji, lazima muwe makini sana. Leo inaweza kuwa ni mimi, lakini kesho inaweza kuwa wewe. Simu ilikuwa karibu kunisababishia madhara makubwa leo. Kwa hiyo, tafadhali, tuwe waangalifu na matumizi ya simu zetu. Nawashukuru sana, Mungu awabariki,” alisema Nai Huddah.

Duka la Nai lanusurika kuungua baada simu yake kulipuka (+Video)

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment