Pakua Kali Za Afrika Mashariki Mix ikiwashirikisha Femi One,Azawi na Nadia Mukami Ndani ya Mdundo
Kali sana!
Tuwasherehekee kina dada wote ambao wako kwenye muziki kupitia mix hii .
Tuko na Femi One, Azawi na Nadia Mukami kwenye mix ya ‘Kali Za Mashariki’
RELATED: Pakua Mix Kali inayomshirikisha Gwiji wa Bongo Mavokali Ndani Ya Mdundo
Ni msanii gani kati ya hawa ndio unayemkubali zaidi?
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog