Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, anayejulikana kama Robertinho, ni meneja wa soka wa Brazil na mchezaji wa zamani. Kama mchezaji, Robertinho alicheza katika viwango vya taaluma na kimataifa kama mshambuliaji.
RELATED: Simba Sports club closes the registration with a clash, they bring a striker from Europe
Club ya Simba SC leo imemtambulisha rasmi Kocha Mkuu mpya Raia wa Brazil Roberto Oliviera Do Carmo (62) kama Kocha wao mpya ambaye ataongeza nguvu katika kikosi chao.
RELATED: Simba Sports Club Signed Nelson Okwa
Roberto Oliviera ni kocha ambaye amepata umaarufu Afrika Mashariki kutokana na kujenga vyema Vipers SC ya Uganda ambao ndio waliwatoa club Bingwa Afrika msimu huu TP Mazembe.