FOOD

Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za kimorocco (+Video)

Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za Kimorocco (+Video)

Chapati, also known as roti, rotli, safati, shabaati, phulka, chapo, and roshi, is an unleavened flatbread originating from the Indian subcontinent and staple in India, Nepal, Bangladesh, Pakistan, Sri Lanka, East Africa, Arabian Peninsula and the Caribbean.

RELATED: The way to prepare Kentucky chicken at home

Jinsi ya kutengeneza chapati za kuchambuka

Mahitaji:

  • Vikombe 6 unga wa ngano /800g
  • Vikombe 3 kasorobo semolina / 400g
  • Kijiko 1 kidogo chumvi
  • Vijiko 2 vidogo sukari
  • Maji
  • Samli
  • Mafuta
  • Kijiko 1 kidogo baking powder + kikombe 1 semolina
Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za Kimorocco (+Video)

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment