Mtanange unaendelea katika ya magwiji wa ligi kuu ya uingereza yani EPL na kulikuwa na mechi zenye upinzani na ushindani mkubwa sana. Hapa tumekusogezea matokeo yote ya Ligi ya uingereza zilizokechezwa leo tarehe 26/12/2019.
Man U Vs Newcastle 4 – 0
Leicester City vs Liverpool 0 – 4
Chelsea Vs Southampton 0 – 2
Bournemouth vs Arsenal 1 – 1
Sheff Utd vs Watford 1 – 1
Aston Villa vs Norwich City 1 – 0
Everton Vs Burnely 1 – 0
Crystal Palace vs West Ham 2 – 1